Информация о песне На данной странице вы можете ознакомиться с текстом песни Rhumba Japani, исполнителя - Sauti Sol. Песня из альбома Midnight Train, в жанре Африканская музыка
Дата выпуска: 04.06.2020
Лейбл звукозаписи: Universal Music (Pty) Ltd South Africa
Язык песни: Суахили
Rhumba Japani |
Kuna rhumba ya Juja |
Na ni ya maboy |
Ukisaka mitumba |
Enda rhumba ya Toi |
Kuna rhumba ya Kibich |
Utajua hujui |
Kuna rhumba for all you niggas |
Ila rhumba Japani ndio rhumba |
Kuna rhumba ya state house |
Iko chini ya maji |
Kuna rhumba ya bunge |
Ya majambazi |
Ukileta ujinga |
Utalala ndani |
Kuna rhumba for all you niggas |
Lakini rhumba Japani ndio rhumba |
Hapa ni wapi, tumezungukwa na shisha |
Na shashamani, mapochopocho na vinywaji |
Mbali mbali, wengine wanatapika |
Wakizirai |
Hapa ni wapi, wanatutwanga mapicha |
Kipaparazi, tumezungukwa na warembo |
Geti kali, tunazitoka na style |
Za kizamani |
Kuna rhumba ya Westy |
Ya mabeshte |
Wa mashinani |
Sheki your waiste |
Rhumba ni nyepesi |
Isikue kesi |
Kuna rhumba for all my niggas |
Ila rhumba Japani ndio rhumba |
Kuna rhumba Karura |
Ya kupanda miti |
Ukiwa Koinange |
Hakunaga risiti |
Rhumba Oyole |
Hio ni ya mangwati |
All of my hoes and all of my niggas |
Rhumba Japani ndio rhumba |
Hapa ni wapi, tumezungukwa na mabouncer |
Kama chwani, kuna mapedi mapoko |
Pia mapinji, na wanaseti Michele |
Kwenye vinywaji |
Hapa ni wapi, kuna visanga vioja |
Mahakamani, wapenzi wapigana |
Mate hadharani, wengine wanatekana |
Nyuma ya taxi |
Nitie rhumba obunga |
Mano mar jothurwa |
To kidwa bilo mbuta |
Rieri yo manyata |
Yawuoi orwaka akala |
To nyiwa ondiso avunja |
Kuna rhumba for all you niggas |
Lakini rhumba Japani ndio rhumba |
Aaaaaaah |
Sol Generation you know |
Hii shit imeniweka zone, inatamba |
Hapa ni wapi, waheshimiwa wako nje |
Kwa foleni, na raia wako ndani |
Wajivinjari, wanazitoka na style |
Ni za kiodi |
Hapa ni wapi, mawochi wote wameleta |
Utiaji, wakafungia wakubwa |
Nje ya party, wakawachia ofisi |
Wafanyikazi |