| Ehh |
| Ehh |
| Ehh |
| Hivi bado nakumbuka, nikiwa kijana |
| Ile bangi nilivuta, pombe nilipewa kwa sana |
| Na wasichana walinipenda, wengine walinikataa |
| Na hapa nilipoamka, sikulala jana |
| Napiga densi usiku kucha, vijana kwa wasichana |
| Na ma-cd zilipasuka, wengi walizaana kwa sana |
| Na vijana wengi walikopa deni wapeleke slay queens maskani |
| Wakatoanishwa bila kuonjeshwa, wasanii tuliponea (Eh!) |
| Naomba (naomba) nizidi kijana |
| Naomba (naomba) nizidi kijana |
| Naomba (naomba) nizidi kijana |
| Won’t you set me free, nizidi kijana? |
| Kaja Facebook kaja Twitter, kaja pia na Instagram (Ooh) |
| Wengi walibwaga mioyo na picha za kupendeza sana |
| Na walitesa, tesa |
| Wazungu wanasemanga ati business and pleasure |
| Inasaidianga wazae kupunguza pressure, vijana under pressure |
| Wasanii tuliponea |
| Naomba (naomba) nizidi kijana |
| Naomba (naomba) nizidi kijana |
| Naomba (naomba) nizidi kijana |
| Won’t you set me free, nizidi kijana? |
| Wait! Wait! Wait! (Oh my god) |
| I can’t feel my legs, guys |
| (So…) |