![Magufuli - Harmonize](https://cdn.muztext.com/i/32847564852573925347.jpg)
Дата выпуска: 01.08.2019
Язык песни: Суахили
Magufuli |
Mmmmh |
I wish ningemwona Magufuli |
Nipige magoti |
Nimpongeze hadharani |
Yaani Rais wa muungano wa Jamhuri |
Mchapakazi hachoki |
Anaye pinga nani? |
Mmmh, |
Ametuvusha vikwazo |
Wewe nami ona nchi anavyoijenga |
Flyover sa tunazo, daraja kigamboni |
Airport imesha jengwa |
Acha nikupongeze Kwa Air Tanzania (Ielewe) |
Zidi baba tuongeze Airbus Bombardier (Ielewe) |
Standard gauge tuteleze Kusafiri unasinzia (Ielewe) |
Acheni tu niwaeleze Magufuli papa nia (Ielewe) |
Oooh dady |
Magufuli Cheza nikuone (Kwangwaru) |
Wasopenda wabane choo (Kwangwaru) |
Magu muacheni (Kwangwaru) |
Oooh daddy |
Asa Cheza nikuone (Kwangwaru) |
Jembe toka chato (Kwangwaru) |
Magufuli ndo Rais wa wanyonge (Kwangwaru) |
Aga, mpole mtu wa dini |
Hajachoka tunashukuru |
Amesamehe mara sabini |
Papi Kocha sa yuko huru |
Wa-Tanzania tupewe nini? |
Vilokufa yeye kavifufua |
Karudisha nidhamu serekalini |
Ukileta njanja anatumbua EEh! |
Sekta ya madini |
Umeme maji kero zimepungua (Asa wee) |
Elimu bure vijijini Watoto shule wanabukua (Asa wee) |
Ifikapo elfu mbili na ishirini Kura yangu chukua (Asa wee) |
Asa tufiche ya nini 'Magu' uongozi anaujua (Asa wee) |
Dar es Salaam mwendo kasi Vituo vya afya kila kata (Ielewe) |
Machinga tunachapa kazi Tena huru bila shaka (Ielewe) |
Borigi utani ameongeza Uchumi uweze panda (Ielewe) |
Serekali Dodoma inapendeza Tanzania ya viwanda (Ielewe) |
Oooh daddy |
Magufuli Cheza nikuone (Kwangwaru) |
Wasopenda wabane choo (Kwangwaru) |
Magu muacheni (Kwangwaru) |
Oooh daddy |
Asa cheza nikuone (Kwangwaru) |
Jembe toka chato (Kwangwaru) |
Magufuli ndo Rais wa wanyonge (Kwangwaru) |
Asa wote wa-Tanzania |
Tusimame imara (Imara imara) |
Yaani wote Tanzania |
Imara Tanzania tusonge mbele |
John Pombe Magufuli |
Simama imara (Imara imara) |
Yaani wote tusonge mbele |
Imara Tanzania tusonge mbele |
Oooh mama Samia Suluhu |
Basi simama imara (Imara imara) |
Kwa pamoja tusonge mbele |
Imara Tanzania tusonge mbele |
Baba Kassim Majaliwa |
Simama imara (Imara imara) |
Kwa pamoja tusonge mbele |
Imara Tanzania tusonge mbele |
Wasafi Records |
Название | Год |
---|---|
Uno | 2019 |
Kainama ft. Burna Boy, Diamond Platnumz | 2019 |
Teacher | 2021 |
Pain ft. Yemi Alade | 2020 |
Kwa Ngwaru ft. Diamond Platnumz | 2018 |
Mwaka Wangu | 2022 |
Bado ft. Diamond Platnumz | 2016 |
Never Give Up | 2019 |
Yanga | 2020 |
Matatizo | 2016 |
Mdomo ft. Ibraah | 2021 |
Single | 2021 |
Inanimaliza ft. Mr. Blue | 2020 |
What Do You Miss | 2021 |
I Can't Stop | 2021 |
One Question | 2021 |
Sandakalawe | 2021 |
Sorry | 2021 |
Outside | 2021 |
Always | 2021 |