![Siri - Rayvanny, Nikk wa Pili](https://cdn.muztext.com/i/32847513585853925347.jpg)
Дата выпуска: 28.12.2017
Язык песни: Суахили
Siri |
Milele Mwanadada Nikifa Unizike |
Kutoka kwenye Uvungu Wa Moyo Wangu |
Natamka niwewee |
Taswira pekee kwenye ndoto zangu mama |
Mfariji pekee nikimwaga chozi langu mama (Niweweee) |
Imenishinda siri Kifuani Mwangu (Aaaah aaah) |
Nikupeleke Nyumbani kwetu Sheri eeeh |
Ukawajue Na Ndugu zangu mama aaah |
Unipeleke Nyumbani kwenu Bibi weweee |
Nikawaone shemeji zangu mamaaa aaah |
Siri Yanini (Siri) |
Nini Maaana Yake oooh (Siri) |
Siri ya niiini (Siri) |
Nini hasara zake (Siri) |
Siri oooh siri Mapenzi ya siri iiiiiiih |
Ooooh Mama lolooooh. |
Ooooh Mama lolooooh. |
Ooooh Mama lolooooh. |
Eeh Mama |
Nipe Utamu kabla Ujatamka Usingizi |
Si come Mpaka tukiamka Ni series |
Kakonko twende kamara kibirizi |
Mapaja Yake utamu Michirizi |
Michepuko imenuna Imezila siri siri |
Na wee ni kachumbali Mayonnaise Pili pili |
Pili pili Manga Tunakilikili wanga |
Kilimanjaro Nyumbani kwetu kisimili mwanga |
Si mama Nikk Simama Wima |
Siri Ya Mapenzi Nikufikishe kwa Kina |
Umebeba beba |
Mkungu Wa Muleba |
Uchungu kama kwao wakajifungue leba |
Umebeba beba |
Mkungu Wa Muleba |
Uchungu kama kwao wakajifungue leba |
Ooooh Mama lolooooh. |
Mama lolo kwako sijiwezi |
Ooooh Mama lolooooh. |
Sitoficha Mdudu Mapenzi |
Ooooh Mama lolooooh. |
Mama lolooooh. |
Kwako sijiwezi |
Ooooh Mama lolooooh. |
Mama loloooooo oooooh ooh |
Kwenye kamoyo mi sina (Siri) |
Je nikutaje ka jina (Siri) |
Wajue wenye fitina (Siri) |
Jembe Nipo Nalima (Siri) |
Basi Nawe Usifiche maaa… (Siri) |
Sema Watupishe naaa… (Siri) |
Vichefuchefu Watapishe Naaa… (Siri) |
Penzi letu lisiishe m mi Na wewee… (Siri) |
Owe owe oweoooo owe owe owaa |
Owe owe oweoooo owe owe owaa |
Siri Yanini (Owe owe oweoooo owe owe owaa) |
Nini Maaana Yake (Owe owe oweoooo owe owe owaa) |
Siri ya niiini (Owe owe oweoooo owe owe owaa) |
Nini hasara zake (Owe owe oweoooo owe owe owaa) |
Название | Год |
---|---|
Tetema ft. Diamond Platnumz | 2019 |
Naogopa | 2020 |
Party | 2021 |
Tekenya Remix | 2020 |
Chuchumaa | 2019 |
Number One ft. Zuchu | 2020 |
Come | 2021 |
Rara | 2021 |
One Two | 2021 |
Teamo ft. Messias Maricoa | 2020 |
I Miss You ft. Zuchu | 2022 |
Jollof On The Jet ft. Rema, Rayvanny | 2020 |
Natafuta Kiki | 2016 |
Unaibiwa | 2017 |
Mama La Mama ft. Mr Blue | 2020 |
Chombo | 2018 |
Amaboko ft. Diamond Platnumz | 2020 |
Baila | 2021 |
Ngongingo | 2020 |
Happy Birthday | 2021 |