| Honey love sweetheart teamo |
| My love, my baby, my everything |
| Ananiamsha kwa mabusu mabusu |
| Mama ananipa massage ya mwili kwa chuchu |
| Nyama ananipa biriani upaja wa kuku |
| Jamaa mbuzi kaja zizini simba na Zuchu |
| Na wanune wanune wanune |
| Na iwaume wakose cha kusema paka shume |
| Najua inawachoma choma kushinda pini |
| Wanatamani ndo wangekuwa mimi |
| Unavyonipa joto centigrade tisini |
| Aah raha |
| Najichanganya hiliki na mdalasini |
| Lowesha nguo nisiende kazini |
| Nkichafuka nifute kwa ulimi |
| Aaah raha raha |
| Ooh oooh… oooh |
| Honey love sweetheart teamo |
| My love, my baby, my everything |
| Honey love sweetheart teamo |
| My love, my baby, my everything |
| Yeah yeah yeah yeah… |
| Yeah yeah yeah yeah… |
| Mapenzi ni kama upepo |
| Unavuma ukipepea mioyo yetu |
| Umevumini kwetu vicheko |
| Wameona ununa hizo sio shida zetu |
| Na wanune, wanune wanune |
| Na wanune hawakosi cha kusema paka shume |
| Si umuache, wacha tukusaidie |
| So tukonaye, acha tukusaidie |
| Mlisema wa nini, acha tukusaidie |
| Acha tukusaidie |
| Ukasema umemchoka, acha tukusaidie |
| Leo macho yanakutoka, acha tukusaidie |
| Mnanuna nini wewe, acha tukusaidie |
| Oooh, oooh, oooh… |
| Honey love sweetheart teamo |
| My love, my baby, my everything |
| Honey love sweetheart teamo |
| My love, my baby, my everything |