Текст песни Ex Boyfriend - Rayvanny

Ex Boyfriend - Rayvanny
Информация о песне На данной странице вы можете ознакомиться с текстом песни Ex Boyfriend , исполнителя -Rayvanny
Песня из альбома: Flowers
В жанре:Соул
Дата выпуска:07.02.2020
Язык песни:Суахили
Лейбл звукозаписи:WCB WASAFI

Выберите на какой язык перевести:

Ex Boyfriend
Leo nakula kwa macho, nguvu ya kusema sina
Maneno ya mipasho na jeuri zimeshazima
Nilishafuta namba zako
Nikachoma picha zako
Sikujali ulivyoliaa
Mbele ya mashoga zako
Nikasema uende zako
Nguo nikakutupiaaa
Na zaidi, uliuguza vidonda
Kwa vipigo, manyanyaso kila siku
Kwa mawazo ukakonda
Niko bize kucheat, nafungua zipu
Ulinibembeleza, nikakubeza
Unanuka na nikakutelekeza
Macho makengeza, miguu ya pwesa
Kuwa nawe nikamesa niliteleza
Leo unapendeza, wamekutengeneza
Wanaume wenye mali, wenye fedha
Sasa unajiweza, siweza kujikweza
Najutia nafasi kuipoteza
Leo aibu yangu
Ex Boyfriend
Ex Boyfriend
Ex Boyfriend
Siitwi tena honey, baby
Jina langu limekuwa
Ex Boyfriend
Ex Boyfriend
Ex Boyfriend
Sikujua kumbe tabu peke yangu, naugua
Ohhh
Nawaza nilifeli wapi, kusema sikutaki
Sura ya baba na kitambi cha makasi
Sasa una mtanashati bitozi tena smati
Mtu wa gyme tena ana six park
Me nipo juu ya bati, sina mikakati
Geto mwendo chai na chapati
Nous ushahama mburahati
Una nyumba masaki
Soirée Unachoma Nyama Kila Siku
Ushanipiga mikuli aah
Insta mi sifurukuti aah
Mambo ya gauni suti aah
Mkifanya photoshoot aah
Mapenzi hayana komando
Mwenzako inaniuma roho
Natamani nikwite njoo
Turudi kama bifooo
Kumbe shepu ilijificha kwenye dera
Hizo skini jinsi mama zinakera
Utaniletea kadi kwenye machela
Siku akikuvalisha shera
Na Ulinibembeleza, nikakubeza
Unanuka na nikakutelekeza
Macho makengeza, miguu ya pwesa
Kuwa nawe nikamesa niliteleza
Leo unapendeza, wamekutengeneza
Wanaume wenye mali, wenye fedha
Sasa unajiweza, siweza kujikweza
Najutia nafasi kuipoteza
Leo aibu yangu
Ex petit ami
Ex petit ami
Ex petit ami
Siitwi tena miel, bébé
Jina langu limekuwa
Ex petit ami
Ex petit ami
Ex petit ami
Sikujua kumbe tabu peke yangu, naugua

Поделитесь текстом песни:

Напишите что вы думаете о тексте песни!

Другие песни исполнителя:

НазваниеГод
2019
2020
2021
2020
2019
2020
2021
2021
2021
Teamo
ft. Messias Maricoa
2020
2022
2020
2016
2017
Mama La Mama
ft. Mr Blue
2020
2018
2020
2021
2020
2021