| Nahisi ninabahati mbaya, kipi nilichokosea |
| Nikijaribu kutafuta shida ndo zinakolea |
| Mfukoni hali mbaya sio kama najitetea |
| Ile pesa yakusuka mbona nilikuletea |
|
| Mawazo yani yanani kolea |
| Nikupe nini usijepotea |
| Ndungura yani inanyong'onyea |
| Lilinde penzi lisijeteketea |
| Vitunguu |
| Mboga za majani laki tano, kwenye genge |
| Nyama tuu |
| Nikupe milioni kwani unapika kenge |
| Si Jana tuu |
| Nimelipa pochi na doti za vitenge |
| Viatu juu ulivyojumua kama unaduka mwenge |
|
| Chuma ulete chuma ulete |
| Usiwe chuma ulete |
| Nsije kubadili jina nikakuita chumaulete |
| Chuma ulete mama chuma ulete |
| Usiwe chuma ulete |
| Nsije kubadili jina nikakuita |
| Chuma ulete |
|
| Pesa sio nguvu za milundi |
| Kunyanyua jiwe juu chini |
| Tukitoka unakuja nakundi |
| Gharama zote juu yangu Mimi |
| Unanasa pesa kama gundi |
| Sasa mimi nitumie nini |
| Kila siku kushona kwa Fundi kama mpambaji wa shughulini |
| Eti nguva inaita |
| Mara mapande sita |
| Mshazari umeshika |
| Hakuna fasheni inakupita |
| Juzi ulikunja ngita |
| Wataka mchele tani sita |
| Mama mbona unatisha |
| Kwani unafuturisha |
|
| Mawazo yani yanani kolea |
| Nikupe nini usije potea |
| Ndungura yani inanyongo'nyea |
| Lilinde penzi lisije teketea |
| Vitunguu |
| Mboga za majani laki tano kwenye genge |
| Nyama tuu |
| Nikupe milioni kwani unapika kenge |
| Si Jana tuu |
| Nimelipa pochi nadoti za vitenge |
| Viatu juu |
| Ulivyojumua kama unaduka mwenge |
|
| Chuma ulete chuma ulete |
| Usiwe chuma ulete |
| Nsije kubadili jina nikakuita |
| Chuma ulete |
| Mama chuma ulete |
| Usiwe chuma ulete |
| Nsije kubadili jina nikakuita |
| Chuma ulete |
|