| Girl, you’re the one in a trillion |
| My princess |
| I swear I’m gonna marry you |
| God’s my witness |
| Unanijulia on my weakness |
| Girl, you got eight-figure natural |
| You don’t need fitness |
| Iliponikataa Dunia, nikajua na wewe utaniacha |
| Moyoni niliumia Nikajua sitoweza tena kukupata |
| Kumbe hukuwa na upendo bandia |
| Moyo wangu bado ukaukumbata |
| Nikisema nakupenda nawe nipenda pia |
| Tuvae sare-sare yani kama mapacha |
| We’re Bonnie &Cyde, Aaah! |
| Girl we meant to be, Aaah! |
| We’re Bonnie &Cyde, Aaah! |
| Forever you and me, Aaah! |
| Tunza heshima kwa baba na mama |
| Walio kuzaa mwana |
| Natuombe mungu hatuvushe ujana |
| Kwenye vita sana |
| Mti wenye matunda una andamwa |
| Acha wanao tukana |
| Tabasamu lako basi linawachoma jamaa |
| Na watakereka sana |
| Kwenye baridi, uwekoti |
| Kwenye mvua, mwamvuli |
| Wanifariji sichoki |
| Kwenye jua kinvuli, Yeah! Yeah! Yeah Yeah! |
| Iliponikataa dunia, nikajua na wewe utaniacha |
| Moyoni niliumia nikajua sitoweza tena kukupata |
| Kumbe hukuwa na upendo bandia |
| Moyo wangu bado ukaukumbata |
| Nikisema nakupenda nawe nipende pia |
| Tuvae sare-sare yani kama mapacha |
| We are |
| We’re Bonnie &Cyde (Woo-woo), Aaah! |
| (Girl with me) |
| Girl we meant to be, Aaah! |
| Weee |
| We’re Bonnie &Cyde, Aaah! (My princess) |
| Forever you and me, (forever you and) Aaah! |
| Meee-me-me-me… |
| I love you |