Текст песни Tekenya Remix - Rayvanny

Tekenya Remix - Rayvanny
Информация о песне На данной странице вы можете ознакомиться с текстом песни Tekenya Remix , исполнителя -Rayvanny
В жанре:Африканская музыка
Дата выпуска:17.01.2020
Язык песни:Суахили

Выберите на какой язык перевести:

Tekenya Remix
Kamenitekenya tekenya katoto
Kamenitekenya tekenya katoto
Kanitekenya tekenya katoto
Kamenitekenya tekenya katoto
Kamenitekenya kamenigusa kunako (Eeh kunako)
Kanitekenya kamenipofua macho (Eeh macho)
Kanafanya makusudi kama hakataki pipi (Dori dori)
Kanafanya nakwenda rudi, boda boda pikipiki (Torori rori)
Kanitekenya
Kanipandisha midadi, nikimuona beki hazikabi, Kanitekenya
Moyo mpasuko radi, mapigo mbio bila ya idadi, Kanitekenya
Shepu lake la nicki minaji, mtoto ananimalizia mtaji, Kanitekenya
Akili kwake hazichaji, natapa tapa kama mfa maji
Teke tekenya, tekenya
Kaniteke tekenya, tekenya
Amenishika kwenye paja, tekenya
Namtajataja, tekenya
Teke tekenya, tekenya
Kaniteke tekenya, tekenya
Amenigusa kwenye kwapa, tekenya
Yaani mara huku mara hapa, tekenya
Kamenitekenya tekenya katoto
Kamenitekenya tekenya katoto
Kanitekenya tekenya katoto
Kamenitekenya tekenya katoto
Vanny Boy
Nikikatekenya kanatekenyeka
Yaani, kanacheka cheka
Kamenitekenya kanavyo tetemesha
Wami kitonga Sekenke na Sereleka
Tekenya
Mikono juu ka ana mabawa, Tekenya
Upepo sukuma ngalawa, Tekenya
Ukizungusha mama napagawa, Tekenya
Hadi birika lamwaga kahawa
Uki kaaaaati ka kigugumizi
Maasai kanipa dawa nishatafuna mizizi
Wani kaaatisha kichizi chizi
Yaani natapa tapa nashindwa kupiga mbizi
Pinda mgongo ukunje mikono
Twende taratibu kama konono
Kuku kishingo shingo
Kuku kishingo
Kama mbuzi kagoma kwenda
Kuku kishingo shingo
Kuku kishingo
Kizombi nimetoka milenda kanitekenya
Teke tekenya, tekenya
Kaniteke tekenya, tekenya
Amenishika kwenye paja, tekenya
Namtajataja, tekenya
Teke tekenya, tekenya
Kaniteke tekenya, tekenya
Amenigusa kwenye kwapa, tekenya
Yaani mara huku mara hapa, tekenya
Pinda mgongo Kishingo weka juu
Kunja na mikono kama kangaroo
Kuku kishingo shingo
Kuku kishingo
Kama umejinyonga unaning’inia
Kuku kishingo shingo
Kuku kishingo
Fanya waibuka unazamia
Kuku kishingo shingo
Kuku kishingo
Paramia ukuta chungulia
Kuku kishingo shingo
Kuku kishingo
Yaani nyatu nyatu
Na nyatia

Поделитесь текстом песни:

Напишите что вы думаете о тексте песни!

Другие песни исполнителя:

НазваниеГод
2019
2020
2021
2019
2020
2021
2021
2021
Teamo
ft. Messias Maricoa
2020
2022
2020
2016
2017
Mama La Mama
ft. Mr Blue
2020
2018
2020
2021
2020
2021
2022