| Corona, corona, corona |
| Nooh ooh olo lo lolo ooh |
| Mmh hey yy eeh (Mocco) |
| Wote tumuombe Mungu kwa hili janga |
| Ikibidi lipite |
| Tujihadhari na tujikinge |
| Ili lisitufike |
| Habari kote duniani zimesambaa |
| Ugonjwa unaua na hauna tiba |
| Na wengine wetu masikini hatujiwezi |
| Mwenyezi Mungu kawe tiba |
| Watoto wetu mashule, aah |
| Mama zetu tu sokoni |
| Kwenye vyombo vya usafiri makazini |
| Tujilinde |
| Osha mikono, aah |
| Epuka mikusanyiko sio ya lazima, aah |
| Na uonapo dalili |
| Mapema wahi hospitali |
| Corona, corona, corona |
| Corona, corona, corona |
| Corona, corona, corona |
| Corona, corona, corona |
| Tanzania hatuwezi tukajiweka pembeni bila kuchukua hatua |
| 'Hatua zimeshaanza kuchukuliwa |
| Waziri wa wizara ya afya ameshazungumza |
| Ameshatoa tahadhari mbalimbali |
| Ambazo tunatakiwa kuzichukua |
| Napenda nirudie ndugu zangu Watanzania |
| Kwamba ni vizuri sana tukaendelea |
| Kuchukua tahadhari, kwa nguvu zote |
| Ugonjwa huu unaua, na unaua kwa haraka sana |
| Niwaombe ndugu zangu Watanzania |
| Tusipuuze ungonjwa huu (Corona, corona, corona) |
| Tusipuuze hata kidogo (Corona, corona, corona) |
| Ni lazima tuanze kuchukua hatua (Corona, corona, corona) |
| Za kujikinga kwa tatizo hili (Corona, corona, corona) |