Информация о песне На данной странице вы можете ознакомиться с текстом песни Vibaya , исполнителя - Harmonize. Дата выпуска: 20.04.2021
Язык песни: Суахили
Информация о песне На данной странице вы можете ознакомиться с текстом песни Vibaya , исполнителя - Harmonize. Vibaya |
| Alisema mapenzi vita |
| Mi na yeye tuungane kuwateketeza maadui |
| Eeh maadui |
| Badala ya miezi kupita aah |
| Vikombe lazima vigongane |
| Na sio kwamba hayajui, eeh hayajui |
| Pigo za kusema vya jndani mi sinaga hizo |
| Ama kumtafuta mchawi ni nani ni kuongeza tatizo |
| Tulia hapa tutakuwa wa ndani hadi paradiso |
| Na tukatangaza kweupe mambo ya hadharani |
| Na tattoo ndo hizo, oh oh ohhh |
| Sitaki kuamini kwamba |
| Lile kapu la mabaya yangu |
| Halina hata machache mema oh mema |
| Nitakuwa mshamba |
| Nikiyasema yote mabaya ya mwenzangu |
| Ili nionekane mwema |
| Japo mapenzi yanaumiza |
| I wish tusisemane (Vibaya vibaya) |
| Ili kesho tusizikane (Vibaya vibaya) |
| Usiwasikilize wapambe (Vibaya vibaya) |
| Wanachotaka maneno ili kesho |
| Watuchambe (Vibaya vibaya) |
| Ooaa aah, oooh aaah |
| Oooh aah, ooh aah… ooooh mmmh |
| Nitunzie siri zangu |
| Nami nitunze zako za miaka rudi nenda |
| Kuna leo na kesho mmh mmmh mmmh |
| Hata maadui zangu walikuwaga maadui zako |
| Hawawezi kukupenda |
| Wanakuvuta uwe kichekesho |
| Mmmmh mmmh mmmh |
| Maana hata ukisambaza |
| Picha zangu za aibu ni sawa |
| Hata hunikomoi |
| Na hata utupu wako ukiutandaza |
| Kwa watu wangu wa karibu sio doa, hujengi hubomoi |
| Mama kuna kamchezo |
| Mtunze mtoto wako |
| Na watu wenye majungu (Majungu) |
| Nilikubali kuviacha vya dezo |
| Sababu ya mapenzi yako |
| Nikaachana na mzungu (Mzungu) |
| Maneno yao utadhani wanakutetea |
| Kumbe tudhalilishane wanachongojea |
| Usiwape faida wambea |
| Na ni kama kawaida nakuombea |
| Sitaki kuamini kwamba |
| Lile kapu la mabaya yangu |
| Halina hata machache mema oh mema |
| Nitakuwa mshamba |
| Nikiyasema yote mabaya ya mwenzangu |
| Ili nionekane mwema |
| Japo mapenzi yanaumiza |
| I wish tusisemane (Vibaya vibaya) |
| Ili kesho tusizikane (Vibaya vibaya) |
| Usiwasikilize wapambe (Vibaya vibaya) |
| Wanachotaka maneno ili kesho |
| Watuchambe (Vibaya vibaya) |
| Ooaa aah, oooh aaah |
| Oooh aah, ooh aah… ooooh |
| Konde Music Worldwide |
| B Boy thank you for the sound |
| Sound… Sound |
| Название | Год |
|---|---|
| Uno | 2019 |
| Kainama ft. Burna Boy, Diamond Platnumz | 2019 |
| Teacher | 2021 |
| Pain ft. Yemi Alade | 2020 |
| Kwa Ngwaru ft. Diamond Platnumz | 2018 |
| Mwaka Wangu | 2022 |
| Magufuli | 2019 |
| Bado ft. Diamond Platnumz | 2016 |
| Never Give Up | 2019 |
| Yanga | 2020 |
| Matatizo | 2016 |
| Mdomo ft. Ibraah | 2021 |
| Single | 2021 |
| Inanimaliza ft. Mr. Blue | 2020 |
| What Do You Miss | 2021 |
| I Can't Stop | 2021 |
| One Question | 2021 |
| Sandakalawe | 2021 |
| Sorry | 2021 |
| Outside | 2021 |