MUZTEXT
Текст песни Sina Nyota - Mbosso
Информация о песне На данной странице вы можете ознакомиться с текстом песни Sina Nyota , исполнителя -Mbosso Выберите на какой язык перевести:
|
| Mwenyewe anaona sawa |
| Ila mwambie mimi ananiumiza sana |
| Ni zaidi ya kupagawa |
| Siponi ugonjwa na nishamaliza dawa |
| Na ajue bado nipo |
| Ila hali yangu hohehahe |
| Sina mabadiliko |
| Machozi mafuriko fundi wa jiko langu kaacha mawe |
| Mpaka akalamba mwiko |
| Bridge: |
| Toka alivyoniacha |
| Sina nyota wala mwezi |
| Mwenzake nimekamatwa |
| Na homa ya mapenzi |
| Toka alivyoniacha |
| Sina nyota wala mwezi |
| Mwenzake nimekamatwa |
| Na homa ya mapenzi |
| Mwili watepeteka |
| Sina afadhali mawazo yanitesa |
| Mbavu dabodeka ni ka misumari |
| Naanza dhoofika |
| Mwili watepeteka |
| Sina afadhali mawazo yanitesa |
| Mbavu dabodeka ni ka misumari |
| Naanza dhoofika |
| Bado ndo ndo ndo chururu |
| Nikijaza haikai kibaba |
| Na misongosongo msururu |
| Sita haikai saba |
| Mimi kitorondo ye kunguru |
| Mbao zangu hazimpi msaada |
| Makombe nishaoga dawa ka susuru |
| Huenda nikasahu labda |
| Kitandani mito ipo miwili |
| Ubavu wewe ubavu mimi |
| Pakata ndiko imewekwa shubiri |
| Nalikwepa nalala chini |
| Nimefuta picha tulizopiga chumbani |
| Ila bado zanisuta suta zimebaki kichwani |
| Silali nastuka stuka unaniita gizani |
| Chozi lalowesha shuka na sina wa kunifuta nani |
| Bridge: |
| Toka alivyoniacha |
| Sina nyota wala mwezi |
| Mwenzake nimekamatwa |
| Na homa ya mapenzi |
| Toka alivyoniacha |
| Sina nyota wala mwezi |
| Mwenzake nimekamatwa |
| Na homa ya mapenzi |
| Mwili watepeteka |
| Sina afadhali mawazo yanitesa |
| Mbavu dabodeka ni ka misumari |
| Naanza dhoofika |
| Mwili watepeteka |
| Sina afadhali mawazo yanitesa |
| Mbavu dabodeka ni ka misumari |
| Naanza dhoofika |
| Outro: |
| Toka alivyoniacha |
| Sina nyota wala mwezi |
| Mwenzake nimekamatwa |
| Na homa ya mapenzi |
| Toka alivyoniacha |
| Sina nyota wala mwezi |
| Mwenzake nimekamatwa |
| Na homa ya mapenzi |
Поделитесь текстом песни:
Напишите что вы думаете о тексте песни!
Другие песни исполнителя:
| Название | Год |
|---|
| 2021 |
| 2018 |
| 2018 |
| 2019 |
| 2018 |
| 2020 |