Информация о песне На данной странице вы можете ознакомиться с текстом песни Ate, исполнителя - Mbosso.
Дата выпуска: 15.11.2019
Язык песни: Суахили
Ate |
Nataka longa na Wewe |
Nikufunze Mapenzi |
Mwenzako nayajua |
Nataka sema nawe |
Nikufunze Penzi Mimi ninalijua |
Nipe nikubembeleze Kama mtoto ng’ara |
Kwa raha zako ujinenepee |
Nikushike Pendo lisiteleze likagaragara |
Wabaya Macho Wasisogelee |
Aaaaah Ah |
Twende Zanzibar Comorro Mombasa |
Tucheze Zumari Ndombolo Chakacha |
Nikupe Michezo hatari Uzidi Takata |
Tuwe ng’aring’ari Dangote Tanasha |
Kama Kikogwa nitala na Chumvi |
Ate ate ate atee |
Vimboga mboga Sangara Uduvi |
Ate ate ate atee |
Eeeeh iyanaaa iyaaaa |
Ate ate ate atee |
Iyaaana iyaaaaa |
Ate ate ate atee |
Mhh mhhh mhh mhhh mhhh |
Mimi Daktari |
Daktari wa Mapenzi |
Dozi yangu temethali |
Inatibu na kuenzi |
Mhh |
Yangu Tamu tamu bila Kuchanjia |
Chachu Kwa Kudambulia |
Swafi kwa Kuitumia ni Salama |
Kama Buble Gum utatafunia |
Ndafu kwa kusukumia |
Mhh Chakurumagia |
Kinyama |
Penzi liogelee hii bahari Salama |
Selelea Se |
Tuelee mioyo isiende mrama |
Selelea Se |
Tule tujisosomoe nyama nyama za Shawarma |
Selelea Se |
Habib Seleleaaa |
Twende Zanzibar Comorro Mombasa |
Tucheze Zumari Ndombolo Chakacha |
Nikupe Michezo hatari Uzidi Takata |
Tuwe ng’aring’ari Dangote Tanasha |
Aaaaah Ah |
Kama Kikogwa nitala na Chumvi |
Ate ate ate atee |
Vimboga mboga Sangara Uduvi |
Ate ate ate atee |
Eeeeh iyanaaa iyaaaa |
Ate ate ate atee |
Iyaaana iyaaaaa |
Ate ate ate atee |
Jamaa mwali Kang’ang’ania |
Anaitaka |
Mmhh Analilia |
Anaitaka |
Oooh Kashikilia |
Anaitaka |
Nimpe Yote yote |
Yani nzima nzima |
Anaitaka |
Oooh Kulamba lamba |
Anaitaka |
Chocolate Ya maziwa |
Anaitaka |
Yote yote |