Информация о песне На данной странице вы можете ознакомиться с текстом песни Nyanyasa , исполнителя - Nandy. Дата выпуска: 08.11.2018
Язык песни: Суахили
Информация о песне На данной странице вы можете ознакомиться с текстом песни Nyanyasa , исполнителя - Nandy. Nyanyasa |
| Aaaah aaaaah unaninyanyasa aaah |
| Unaninyanyasaaaah uuuh uuuh unaninyanyasaaaah aaaaah aaah |
| Uuuh uuuh unaninyanyasaaaah euuuh uuuh unaninyanyasaaaah aaaah |
| Mwili umekonda nimepunguaaah haieleweki nachougua aaah moyo kidonda |
| Unakwangua inauma sana aah mbele za watu unaniumbua sina la kusemaaah |
| Visa unanifanyia japo navumilia ila naumia sana aah na siku ukijua |
| Kuwa unanikosea itakuwa too late japo unaninyanyasaaaah baby |
| Unaninyanyasaaaah wewe |
| Unaninyanyasaaaah baby unaninyanyasaaaah bby unaninya… |
| Unaniangusha chini aniokote nani japo ujui thamani yangu me nani |
| Ataitambua aaah kwanza kumbuka baby si tumetoka mbali |
| Iih ukiwa huna siwazi nimekubali tuijenge familia aah |
| Visa unanifanyia japo navumilia ila naumia sana aah na siku ukijua |
| Kuwa unanikosea itakuwa too late japo unaninyanyasaaaah wewe |
| Unaninyanyasaaaah wewe unaninyanyasaaaah aaah |
| Wewe unaninyanyasaaaah aaaah aaah unaninyanyasaaaah |