![Nalia Na Mengi - Diamond Platnumz, Chidi Benz](https://cdn.muztext.com/i/32847563130173925347.jpg)
Дата выпуска: 27.11.2013
Язык песни: Суахили
Nalia Na Mengi |
Mi niliambiwa mapenzi ni kama bahari |
Ukishazama ndo basi umepotea |
Kumbe mwenzangu alikuwa anatamani |
Badala ya kuzama mi kwangu akaelea |
Akawa ananidanganya |
Nikiwa nadhani ananipenda sana |
Mikwanja nikamwaga mama |
Japo sio kivile la kuongea maana |
Akawa ananidanganya |
Nikiwa nadhani ananipenda sana |
Mbona mifedha nikamwaga mama |
Japo sio kivile ila hakuongea maana |
Wakaja wajinga wakamchukua |
Waka-muhongahonga mwisho wakamnunua |
Wajinga wakamchukua |
Waka-muhongahonga mwisho wakamnunua, ayayaya… |
Usinione nalia (rrah) |
Usinione nalia (rrah) |
Mwenzenu nalia na mengi |
Usinione nalia (rrah) |
Naila… (rrah) |
Sababu ya mapenzi |
Usinione nalia (rrah) |
Nalia… (rrah) |
Nalia na mengi |
Ooh, jamani nalia (rrah) |
Nalia… (rrah) |
Sababu ya mapenzi |
Najua alimaanisha kuwa simfai |
Ila lakini angesema |
Kuliko alichofanya mi akantoa nishai |
Akanimeza akanitema |
Nyie mapenzi yanauma vibaya |
Vibaya, vibaya |
Mmmh, mapenzi yanauma vibaya |
Vibaya, vibaya… |
Ile gafra safari |
Ndio inanifanya na usingizi sipati |
Huwa nakumbuka mbali |
Hasa nikisikia harufu yake ya marashi |
Mi kwa chungu nilivyoumia |
Nikaandika hili song la mwondoko nalia |
Na voko nikaingiza kwa hisia na imani |
Ipo siku nyimbo itamfika |
Mi kwa uchungu nilivyoumia mie |
Nikaandika song la mwondoko nalia |
Na voko nikaingiza kwa hisia na imani |
Ipo siku nyimbo itamfikia, ayayaya… |
Usinione nalia (rrah) |
Usinione nalia (rrah) |
Mwenzenu nalia na mengi |
Usinione nalia (rrah) |
Naila… (rrah) |
Sababu ya mapenzi |
Usinione nalia (rrah) |
Nalia… (rrah) |
Nalia na mengi (ye, yeah) |
Ooh, jamani nalia (ye, ye) |
Nalia… (rrah) |
Sababu ya mapenzi |
Usinione nakosa raha mama na lala ma kwako mara kadhaa |
We ni msaada kwenye tuta so ukichomoka balaa |
Sijiwezi kwangu giza naweza kimbiza na hii taa |
Na hilo unajua inavyoumiza ushashuhudia mara kadhaa |
Nwenu wezi wakung’ang’anie ninung’unike nilie |
Nija yetu mmoja niache nipite si ukasimulie |
Mama ya kinyamwezi na swaga zako juu |
Na miguu napata picha kitandani kungfu |
Uko juu ukipita lazima wasome namba |
We ndo mfano hata unajua neno pamba sifaa |
Kwa kitambo ntakulinda kama mkinga mwenye shamba |
Mikogo kila leo ntajigamba |
Nusonge kisela piga teke inauma |
Usiombe mapenzi yakupige teke inauma |
Usiombe mapenzi yakupige teke, eh |
Bounce |
Usinione nalia (rrah) |
Usinione nalia (rrah) |
Mwenzenu nalia na mengi |
Usinione nalia (rrah) |
Naila… (rrah) |
Sababu ya mapenzi |
Usinione nalia (rrah) |
Nalia… (rrah) |
Nalia na mengi |
Ooh, jamani nalia (rrah) |
Nalia… (rrah) |
Sababu ya mapenzi |
Ah ah ah ah ah ah ah |
Ah |
Ah |
Oh oh oh oh oh oh oh |
Oh |
Oh |
Ah ah ah ah ah ah ah |
Ah |
Ah ah ah ah ah ah ah ah ah ah ah ah ah ah ah |
Ji ji ji ji ji ji ji ji ji ji ji ji ji ji ji ji |
Название | Год |
---|---|
Tetema ft. Diamond Platnumz | 2019 |
Shu! | 2023 |
Kamata | 2021 |
Kainama ft. Burna Boy, Diamond Platnumz | 2019 |
Jeje | 2020 |
African Beauty ft. Omarion | 2018 |
Gidi | 2022 |
Baikoko ft. Diamond Platnumz | 2021 |
Penzi ft. Diamond Platnumz | 2019 |
Yo Pe ft. Diamond Platnumz | 2021 |
IYO ft. Focalistic | 2021 |
Gimmie ft. Rema | 2021 |
Inama ft. Fally Ipupa | 2019 |
Love You Die ft. Patoranking | 2017 |
Waah! ft. Koffi Olomide | 2020 |
Katika ft. Diamond Platnumz | 2018 |
Haunisumbui | 2022 |
Baba Lao | 2019 |
Amaboko ft. Diamond Platnumz | 2020 |
Kidogo ft. P Square, P-Square | 2018 |